kama kwenye maziwa tunavaa padded n push up bra ili tuonekane tumejaaliwa kifuani, kuna kosa gani kuvaa padded pants ili tuonekane tumejaaliwa nyuma?







" Ndio sidiria ikukae vyema na iwe size yako mambo ya kuvaa 'Mama Nibebe' kwenye harusi haihusu, na uzingatie rangi jamani ile ni siku yako mie nashauri kila kitu kiwe kpyaaa sio nguo nyeupe ukavae sidiria ya blue huo ni uchafu"
"Hii inasaidia kupunguza manyamanyama na kubana mwili haswa haswa sehemu za tumboni na matako ili nguo iweze kufit vyema...japo sio lazima saana"

"Na hii ndo muhimu haswa tafuta chupi ambayo ukivaa inakaa vyema sio chupi inaingia kipwito/mnato ,uko mbele za watu mara wahangaika kutoa mnato, na angalia chupi ambazo hazitaonesha mistari ya chupi na isiwe ya rangi rangi ambayo itatokeza nje ya nguo.... siku hii uvae chupi mpya shost sio uvae chupi lako la zamani ukiulizwa nini...Ooooh inanikaaga vizuri inahusuu?!!"Hosiery
Make sure your undergarments will not be seen trough your gown!
"hii naona waulaya zaidi wanakosumbuliwa na baridi ndo watahitaji kwa saana au arusha huko moshi au Iringa Daslam na hili joto ambayo unatakani usipake hata lotion upachike hz utajuta....ila zinapendeza na kama bi harusi utakuwa umevaa nguo fupi ya kuonesha miguu"
wedding, you want to see your true beauty captured. You may decide to get bridal pictures taken in addition to the photos from your special day. With so many photos and memories, you will want to be sure to have your makeup enhance all of your best features. Makeup application for these special events will most likely be a little different than your average makeup day.










